Bali ni mkulima ndiye hulitupa jembe.Jembe halimtupi Mkulima.
Duh, Watu mko na maneno.Bali ni mkulima ndiye hulitupa jembe.
Ili iweje Mkuu?Ngoja leo nisikilize hizi top teni.
Clouds wathenge kama baba dhaoAlafu kuna media zinataka kutuaminisha kuwa hiyo ngoma hamna kitu.
Na hata kwenye orodha zao za top ten haipo.
Sio kujua tu,tuulize na sisi watu wa ukanda ule....tunajua njia nyingi za kupita
Hapo mmeatuacha, hebu ufafanuzi please.[emoji23][emoji23][emoji23] kweli mkuu kama ile njia ya ngende nzuri sana
Wa Pemba hao, wanajuana kwa kilemba.Jembe halimtupi Mkulima.
Nami nahisi vivyo hivyo pia.Wa Pemba hao, wanajuana kwa kilemba.
Ni kila Mtu na mipango yake.Nami nahisi vivyo hivyo pia.