Harmonise Vs. Allykiba, Ally Kiba Mziki siyo Mpira. Huku No Die fans

Harmonise Vs. Allykiba, Ally Kiba Mziki siyo Mpira. Huku No Die fans

Pemba empire

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
467
Reaction score
1,339
Harmo juzi juzi alikuja hivi..ikawa balaa..

Mjomba akamuwahi..shughuli ikawa balaa

na mwaka jana mwishoni kashirikishwa pamoja sex lady yemi alade

hii nyingine ya jana hatari sana..

Hongera sana Diamond now umekuza, safi sana Dogo Harmonise.

Wasanii wakubwa mfano Alikiba acheni kubweteka sisi mashabiki tunahama tu km Upepo..Ushabiki wa muziki tofauti sana na Mpira..kule kwenye Kandanda tuna die fans..yaani mtu anafagilia Yanga tu au simba regardless..mziki tofauti sana. Msije mkaanza kulia km Q-chief kutafuta huruma ya mashabiki. Mziki umebadilika sana..lazma mbadlike na nyinyi. Lilikuwa jambo la Aibu sana kumfananisha Mond bin laden na Kiba ..yaani unafafanisha Toyota Prado Vs. Passo. Hata leo nasema kumfananisha Harmonize na Kiba..ni kumdhalilisha Harmonize.

Muziki hakuna die fans..

Diamond achia Baila watu wapoteane kabsa..Sijui wale Mungu watu wa mziki Tanzania now wanajisikiaje..Mawingu Project zimefail..Periods
 
Bubble gum music...unatoka tarehe moja ..tarehe kumi kapuni
 
Ule wimbo wa ali kiba sijawahi kusikia unapigwa popote. Zaidi ya ile siku clouds

Ama kweli chema chajiuza.
 
tuseme tu ukweli diamond anajituma sana..lakini huyu kiba mmh!!!
Kwanza anamajivunoo, huko insta watu milion mbili wamemfolo yeye hajafanya hivyo kwa mtu hata mmoja....akiitwa kwenye interview ndio utachefukwa anajibu maswali kwa shida anachosha hata kumsikiliza.

Nilikuwa nampenda sana....lakini namuona kama hayuko serious kabisa na muziki wake....kumlinganisha huyu mtu na D nikumkosea adabu D.
 
Kumbuka Redio Haitakufa Ila Mziki Utakufa
Kuna Wasanii Miaka Ya Mbeleni Watakuja Omba Msamaha Kwa Ruge
Ruge ni nani..Kuomba msamaha kwa Ruge..hahahah..utoto huu. Mwambie Ruge aendelee kusubili
 
Ndio Redio haitakufa ila Ruge atakufa kuna uongozi mpya humo Redioni huko mbeleni watakuja kuondoka husda na visasi vya kike kama vya bwana Ruge.
Ruge ana miaka 49 mambo anayofanya km binti wa miaka 25..Ila wakati yule b12 nasikia kimeo sana
 
tuseme tu ukweli diamond anajituma sana..lakini huyu kiba mmh!!!
Kwanza anamajivunoo, huko insta watu milion mbili wamemfolo yeye hajafanya hivyo kwa mtu hata mmoja....akiitwa kwenye interview ndio utachefukwa anajibu maswali kwa shida anachosha hata kumsikiliza.

Nilikuwa nampenda sana....lakini namuona kama hayuko serious kabisa na muziki wake....kumlinganisha huyu mtu na D nikumkosea adabu D.
beyonce ana followers 115M na hajamfollow hata mtu mmoja
iyo sio hoja hapo
 
Kwani ni lazima ufananishe mkuu?

Huwa nashangaa sana, hivi haiwezekan kusikiliza muziki bila kulinganisha wasanii?
 
Mwacheni bwana harusi wa watu, ndio kwanza kaanza fungate
 
tuseme tu ukweli diamond anajituma sana..lakini huyu kiba mmh!!!
Kwanza anamajivunoo, huko insta watu milion mbili wamemfolo yeye hajafanya hivyo kwa mtu hata mmoja....akiitwa kwenye interview ndio utachefukwa anajibu maswali kwa shida anachosha hata kumsikiliza.

Nilikuwa nampenda sana....lakini namuona kama hayuko serious kabisa na muziki wake....kumlinganisha huyu mtu na D nikumkosea adabu D.
Off course Mimi pia Aly ananidissapoint sana nimeamua kumuacha km alivyo wala hata sina time diamond huko vzr mno upstairs anajielewa hata interviews zake ziko vzr!
 
Back
Top Bottom