Pemba empire
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 467
- 1,339
Harmo juzi juzi alikuja hivi..ikawa balaa..
Mjomba akamuwahi..shughuli ikawa balaa
na mwaka jana mwishoni kashirikishwa pamoja sex lady yemi alade
hii nyingine ya jana hatari sana..
Hongera sana Diamond now umekuza, safi sana Dogo Harmonise.
Wasanii wakubwa mfano Alikiba acheni kubweteka sisi mashabiki tunahama tu km Upepo..Ushabiki wa muziki tofauti sana na Mpira..kule kwenye Kandanda tuna die fans..yaani mtu anafagilia Yanga tu au simba regardless..mziki tofauti sana. Msije mkaanza kulia km Q-chief kutafuta huruma ya mashabiki. Mziki umebadilika sana..lazma mbadlike na nyinyi. Lilikuwa jambo la Aibu sana kumfananisha Mond bin laden na Kiba ..yaani unafafanisha Toyota Prado Vs. Passo. Hata leo nasema kumfananisha Harmonize na Kiba..ni kumdhalilisha Harmonize.
Muziki hakuna die fans..
Diamond achia Baila watu wapoteane kabsa..Sijui wale Mungu watu wa mziki Tanzania now wanajisikiaje..Mawingu Project zimefail..Periods