Harmonise Vs. Allykiba, Ally Kiba Mziki siyo Mpira. Huku No Die fans

halafu mkuu umesahau kuna na kitu kipo njiani ni shida sana...humo kuna konde boy, mr flavor, yemi alade etc....konde katisha sana humo alitupia short clip insta aiseeeeeee fire!
 
Off course Mimi pia Aly ananidissapoint sana nimeamua kumuacha km alivyo wala hata sina time diamond huko vzr mno upstairs anajielewa hata interviews zake ziko vzr!

Mwenzenu yuko bize na mechi yake ya soka na mbwana samata na keshataja kikosi chake tayari. Yule akili matope kbs yaani ile sauti angeipata domo sijui angekua level.gani sa hivi aagh .
 
Attachments

  • IMG-20180528-WA0034.jpg
    29.4 KB · Views: 27
Mwenzenu yuko bize na mechi yake ya soka na mbwana samata na keshataja kikosi chake tayari. Yule akili matope kbs yaani ile sauti angeipata domo sijui angekua level.gani sa hivi aagh .
Huyu jamaa hajielewi, na isingekuwa boost ya Diamond kwenye hako kabifu kao tungekuwa tushamsahau kama Marlaw
 
Huyu jamaa hajielewi, na isingekuwa boost ya Diamond kwenye hako kabifu kao tungekuwa tushamsahau kama Marlaw
Hivi hiyo boost ya Diamond kwanini hajaitumia Marlaw au hata Q chief ama Dully Sykes? Lazima mkubali jamaa ana kitu cha tofauti ndo maana hamuishi kumuandikia nyuzi kila kukicha humu... kama anapotea si mumuache apotee, kuna wasanii wangapi hapa bongo je haitoshi kuwasikiliza... kama Harmo yupo poa msikilizeni huyo why mnalia na kiba kila kukicha kama watoto wa kambo...
Achaneni na King Kiba kama mnasema hajielewi.. fanyeni mambo mengine!!
 
Huo ndio ukweli, na chokochoko za kutaka kurudi kwenye game kupitia Diamond zilianzia hapa, it's something 'planned'

Huo ndio ukweli, na chokochoko za kutaka kurudi kwenye game kupitia Diamond zilianzia hapa, it's something 'planned'

kwanini hizo chokochoko asizipange Marlaw, Q chief au TID.. bado hujajibu swali!
Mbona kuna wakati Chilla alilalama anarogwa na D je iliweza kumrudisha kwenye game?
 
kwanini hizo chokochoko asizipange Marlaw, Q chief au TID.. bado hujajibu swali!
Mbona kuna wakati Chilla alilalama anarogwa na D je iliweza kumrudisha kwenye game?
Chokochoko hizo ziliambatana na 'backup' ya wale watemi wa burudani, ukizingatia Kiba lazima tukubali anakipaji kikubwa so akibebwa anabebeka. Qchilla hata akibebwa hana jipya
 
Hawa vijana wachape kazi wasikubali kufitinishwa na washindwa
Ila mshana tisa, kumi ni mambo njee ya mziki yana fanya watu either wa mchukie au wa mpende mmoja wapi, lakini tukija kwenye uwezo kabisa wa ki mziki na kuchapa kazi, ubunifu, juhudi, maarifa, Diamond ana vyote hivyo, Alikiba ni historia tuu lakini ni wa kawaida kabisa, ndio maana hata kwangu mimi naamini, ALIKIBA hamfikii hata Barnaba, Harmonie, Aslay na Rayvan.
 
Chokochoko hizo ziliambatana na 'backup' ya wale watemi wa burudani, ukizingatia Kiba lazima tukubali anakipaji kikubwa so akibebwa anabebeka. Qchilla hata akibebwa hana jipya
Hapo umekuja kwenye point... AK ni kipaji kikubwa tena sana, mengine ni mapungufu tu ya kiubinadamu hii ipo toka shuleni mpaka sehemu za kazi, watu wanaokomaa kumdiss huwa wanashindwa kusema hili...

Hata hii mechi ya tarehe 9 mbona ni jambo jema, mtu anayeweza kuandaa event kwaajiri ya kukusanya pesa za kusaidia vifaa vya elimu na elimu kiujumla unasemaje kwamba hajielewi, katika hili tulipaswa kumpongeza maana wengi watafaidika katika elimu kuliko hata burudani za nyimbo.

Watanzania tuache tabia ya kuwapinga wengine pale wanapothubutu kufanya kile ambacho hata sisi hatuwezi, mtu hajawahi changia hata dawati katika shule alosoma naye anakuja kuanzisha mada na kupiga bla blah humu...

Tukubali tu jamaa bado wakati anao, wakati ukimtupa mkono hata nyuzi zake hazitaanzishwa tena humu.

Just enjoy good music, mi wote nawasikiliza na nainjoy sana.. mbali na hapo unakuwa hujitendei haki kama ni mpenzi wa kweli wa muziki!!
 
Tatizo lake ni kujitambua hajitambui kabisa huyu na hapo ndo anapotuboa!!.. kipaji chake plus washabiki waliojitoa kwa ajili yake bado tu anatoa nyimbo moja kwa mwaka? Ujinnga gani huo!!.. domo hafikii kipaji cha kiba lakini halali ana struggle mpaka inabidi tu umpende!!.. kiba hopeless kbs
 
beyonce ana followers 115M na hajamfollow hata mtu mmoja
iyo sio hoja hapo
na kujibu maswali kitoto toto na majivuno yasiyo na kichwa wala miguu amecopy kwa huyo huyo beyonce au?
 
Mwenzenu yuko bize na mechi yake ya soka na mbwana samata na keshataja kikosi chake tayari. Yule akili matope kbs yaani ile sauti angeipata domo sijui angekua level.gani sa hivi aagh .

Sijui mnatumiaaga vigezo gani kusema ally ana sauti kuliko Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…