Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
Harmonise "MondiRapa"!!! Wanaiga sana mondi. Naona ilianza Harmonize kumkubali sana Mondi toka alipokuwa WCB!!!
Maana kuanzia mziki mpaka swag zake, social media zake, kuanzisha festival, nk yaani kila kitu Hamo anamuiga Mondi!!. Mpaka sehem Mondi alipokuwa akipiga shows zake huko nje Hamo nae yupo mule mule.
Kwa hiyo nje huko bajeti yao ya kumuita Mondi ikipungua wanamwita "MondiRapa"!!!
Mpaka juzi mwenzake kafanya shereh ya kimila kutimiza miaka 10 na yeye kaiga huko kwao kusini!!! Mwenzako hiyo kaiweka kama anniversary we tayari ushaiga!!!!
Harmo na menejment yake wanajitahidi ila wabuni mambo yao mapya kwenye brand yao!!!! Walete vitu vipya kama lile gari la chakula!!!. Waache kabisa kufuatilia anachofanya Mondi, yaan wachukulie kama hayupo.
Hawawezi kuteka soko kwa kumuiga Mondi!! Badala ya kuzidi alipofikia Mondi ataishia kuonekana MondiRapa😂