Harmonize aache kuiga iga kwa Diamond

Mbona mnawashwawashwa madogo nyie wapenzi wa nasibu abdul

Sent using Unataka kujua ili iweje
 

root source yake kweli kwenye kuimba alikua anamuiga diomond na it seems Diomond alikua ana-entertain hilo ila hili la kufanya shoo tandahimba anamuiga vipi diamond??

kupanda chopa ndiyo amemcopy diomond??
kwenda kwao mwaka mpya ndiyo amemcopy diamond?
kufanyiwa mila ndiyo amemcopy diamond?

shoo za mwezi wa December tu ameshafanya Muscat, Sudani kusini, Mauritius,siera leone , Mombasa, Dubai, nk.
 
Hakuna jambo jipya chini ya jua, wacha kila MTU afanye analoona Jena au kumuingizia kipato.
Mimi nikikuona unachimba madini sitouliza nabeba zana za kumbia, hakuna masikhara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikir mi nina shobo kwa mabeberu ka nyie hadi nisapoti mambo yao.... Kama hizo ndo tabia zako ulizoiga usitake kuniambukiza na mimi... Zipeleke huko ukaziendeleze kwenye ukoo wenu.
wewe kula kiporo chako ulale muache mmakonde wa watu atafute rizki zake.
 
kuiga kwa binadamu mwenzako imekuwa nongwa? watu wameiga dogi style kwa dog wameiga kifo cha mende kwa mende sembuse hayo mambo ya show tuacheni nongwa 2020
 
Walichofanikiwa kwa 100% Ni kumuua Kiba. Kiba sasa HV hajulikani alipo. Amekula underground
 

Labda sijamfatilia sana, au nimeenda na mdundo wa thread, kwa kidogo ninavyoziangalia kazi za Harmonize ni kama anajaribu kutuonesha kwamba chochote Diamond anachofanya hata yeye anaweza kufanya.

Sina uhakika na arrangement za homecoming shows nani alianza kutangaza, by the way bado ni kitu kizuri, lakini issue ya tambiko naona kama ni copycat.

Harmonize anaweza kuwa msanii mkubwa, kama akiamua kuondoka kwenye kivuli cha Diamond, afanye kazi zake kwa kuangalia ratiba yake, na style yake.

Kama nilivyosema, management yenye akili inahitajika. Sasa hivi anaweza akawa unasafiria upepo wa WCB bado, kama unavyojua wabongo tunahitaji kuona challenge mpya. Si ajabu huu upepo wa WCB ukiisha na yeye akatakiwa kusimama peke yake itakuwa tofauti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kwanini usiseme Mondi ndio anamuiga Konde? Au una thibitishaje kuwa anamuiga?

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake bwana.
 
Nan kayumba kati ya hao wawili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…