kaka Dogo anajitahidi balaAcha kufananisha domo na vitu vya ajabu
nyimbo nzuri ila Boss wake anadesere heshima huwezi mlinganisha na vijana ili hali yeye amefanya anachofanya harmonize kwa miaka kama 10 hivi ..sio kazi rahisi kuwa na consistency muda wote huobonge la wimbo hata boss wake ameshapotezwa dah aise dogo anajuwa ..
Sent using Jamii Forums mobile app
boss hamna kipya tena chini ya juwa lazma mambo yafananeIla beat ni kama ya mafikizolo ngoma moja hiv inaitwa love potion kama sikosei,,ila harmo ni mkali amejitahidi kuimba kwa hisia
mkuu ahsante sana kwa kutaka kunisaidia mtanzania mwenzako
ur wlcm bromku
mkuu ahsante sana kwa kutaka kunisaidia mtanzania mwenzako
nitanunua mwenyewe
ubarikiwe sana
kwa hio sio mziki wa harmonize sio? u ar so hatefull hahaha duhBeats za Mafikizolo love portion. Sauti ya Diomond. Bado kwakweli
bonge la wimbo hata boss wake ameshapotezwa dah aise dogo anajuwa ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact, diamond platinumz Ni another number,ko harmonize bado Sana.Acha kufananisha domo na vitu vya ajabu
Kwani Wana IPR mpaka useme Ni ya kwo,beat ya harmonize bhana akaaah.Ila beat ni kama ya mafikizolo ngoma moja hiv inaitwa love potion kama sikosei,,ila harmo ni mkali amejitahidi kuimba kwa hisia
Factnyimbo nzuri ila Boss wake anadesere heshima huwezi mlinganisha na vijana ili hali yeye amefanya anachofanya harmonize kwa miaka kama 10 hivi ..sio kazi rahisi kuwa na consistency muda wote huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Beat mna n'gan'gania wakati wao ndio waliiga demo ka Ayo lizer ok mrembo be careful with your heart.Beats za Mafikizolo love portion. Sauti ya Diomond. Bado kwakweli