Harmonize aachia video ya ngoma mpya inayoitwa 'Atarudi'

Sijaona kipya hapo...

Alafu waache usrngee ..hiyo biti ni ya Mafikizolo yote.

Pumbaf.
 
Sijaona kipya hapo...

Alafu waache usrngee ..hiyo biti ni ya Mafikizolo yote.

Pumbaf.
Kuwa muelewa yaani hii Ni mara ya mwisho kukuelewesha,nasema tena kwa niaba ya wanajamvi wote kwamba mafikizolo waliiba demo ya beat ya ATARUDI,ok be careful with your heart.
 
Nikiri wazi hii ni moja ya nyimbo za dogo ninazozikubali sana, dogo kajitahidi mno, hala to him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…