FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Shem naona umeamua kuwawekea pua..ili siku likitoka lakutokea wawe washaozoea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harmo ametoka wcb na nyimbo zake zote nimefuta kwa simu yangu..[emoji23][emoji23][emoji57]
Ulitaka abaki WCB mpaka mwisho wa maisha yake? Kwa nini unampangia utaratibu wa kazi zake? Kuhama kwa WCB ndio uadui? Watu kama nyie ndio ambao hata mkihama nyumba mnamuona mwenye nyumba ni adui. sio vizuri., halafu kuna sie watu wengi tu ambao hatuna team bali tunapenda muziki mzuri so tutampa support Konde boy kama ataendelea kutoa nyimbo bora.
Acha kumjadili mwanaume mwenzio
We hamonenga hawezi soma kitabu cha art of war[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimejihami mapemaShem naona umeamua kuwawekea pua..ili siku likitoka lakutokea wawe washaozoea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani harmonize kujitoa wasafi inamaana ameanza nao vita??? Ina maana tayari wale ni maadui?
Kwa nini unataka kulazimisha kuwa Konde kuondoka wasafi ni jambo la ugomvi? Kwa nini uone kuwa Diamond kapata hasara? Kuna mikataba kama kuna ambacho Konde anatakiwa kulipa wamdai alipe, ndugu we, hata wakoloni walifanya mambo ya maendeleo sana Afrika laikini kuwa mtumwa hata kama una pata kitu kikubwa haina amani kama kuwa huru. Umesha kaa na Konde boy ukamuuliza kwa nini kaondoka wasafi? Kwa nini unataka faid ya Mondi tu? Acha kulazimisha vita.Pole Sana.Unaangalia Mambo kwa upeo mdogo,hata mfano wako ulioutoa haulingani kabisa na nilichaondika mimi hapo juu.Hebu jaribu kuwaza mbali sana utaona ninachojadili
Ngoja nikufungue akili kidogo.
Diamond aliwekeza pesa,muda kwa Harmonize kwa muda mrefu kwa lengo la kupata return kwa siku za usoni.Kile alichofanya Diamond ni kuwekeza pesa kwa Harmonize (asset) ili amuingizie pesa.
Sasa Basi kitendo cha Harmonize kuondoka/kujitoa means ameondoa asset ambayo diamond aliiweka kwa akili ya kawaida ambayo haitaki kuwa akili kubwa utajuwa nini kitafuata baina Yao.
Ni mgongano wa kimasilahi only fittest shall survive.
Mtoa mada anataka kutuaminisha kuwa WCB ndio inamfanya msanii awe mzuri, ho si ukweli mbona msanii wao wa kike Queen Darlin hafurukuti? Ametoa wimbo wake hata media za vichochoroni haupigwi, mbona asiwafunike kina Nandy, Ruby , Vanessa na wengine wengi?! Acha konde boy atoke WCB akatafute maisha, kama alitoka Kijijini kwao peke yake na amefanikiwa jua ni juhudi zake binafsi.
Wewe ulitaka atumie mfano gani? Mbona hamkumshauri ajiunge why mnakomaa alivyo amua kuondoka? We unadhani WDC haijarudisha uwekezaji wao kwa Konde boy? Acha aende WCB wasajili mchezaji mwingine kazi haiwezi kusimama. Acha konde afurhie uhuru wake nani hataki kuwa bosi?Jaribu kusoma btn the line utaelewa ninacho preach hapa.Sijasema kuwa wasafi wanafanya msanii awe mzuri la hasha Bali wameandaa mfumo ambao hata wasanii wabovu wanaojuwa afadhali.
Naunga mkono uamuzi wa Harmonize kujitoa wasafi lakini sikuliane naye strategies anazotumia.
Kwenye suala la queen darling umechemsha kulizungumzia nimekuwa nikifatilia interviews nyingi za diamond akitaja wasanii wake wa wcb Mara nyingi jina la dada yake alitajigi hata baadhi ya ngoma za dada yake azipost kwenye mitandano yake ya kijamii lakini pia hata invest zake za video ni ndogo compare other WCB artists dada yake hajawai hata kumtafutia collabo moja ya international artist hii ni tofauti na wasanii wengine wa wasafi wanapewa international artists.Haya ni machache utagundua diamond mwenyewe hamkubali dada yake ila yupo tu cos ni ndugu yake ndomaana hafanyi vizuri cos hampushi Kama alivyokuwa anawapushi harmonize,mboso, rayvanny na lavalava.Mtoa mada anataka kutuaminisha kuwa WCB ndio inamfanya msanii awe mzuri, ho si ukweli mbona msanii wao wa kike Queen Darlin hafurukuti? Ametoa wimbo wake hata media za vichochoroni haupigwi, mbona asiwafunike kina Nandy, Ruby , Vanessa na wengine wengi?! Acha konde boy atoke WCB akatafute maisha, kama alitoka Kijijini kwao peke yake na amefanikiwa jua ni juhudi zake binafsi.
Siku mingi, nishanawa, nikanyanyuka, nipo ufukweni napata wasafi juice.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna maneno...kwa hiyo na wewe umetoka