Harmonize acha kutafuta public sympathy.Hii itakugharimu in long run

Unapoteza muda wako, huyo unayejaribu kumfafanulia ni either hajui mziki kabisa au ni hater. Haiwezekani eti mtu ni maarufu kwa sababu ya jina na beat, jina alilitengeneza vipi kama si kwa kutoa hits kali and for that matter kwa span ya miaka karibu kumi na kama ni beats kwani hao wengine wanashindwa kuwatafuta producers wa kuwatengenezea beats kali au wanashindwa kugundua ni beats zipi zinawafaa.
Diamond amefikia level ambayo anaangalia zaidi international market ndiyo maana ameacha ule uimbaji wa mashairi mengi na analenga nyimbo za ku'dance zaidi ili hata ambao hawataelewa lakini wata'enjoy na kucheza. No wonder utazisikia kwenye clubs hata kwa wasiojua Kiswahili.
 
Hicho kitabu hata akikitafuta akisome mara 100 hakitamsaidia bongo flava na Tanzania na watanzania sio watu wanaotabilika mfalme aleishinda vita ni Diamond peke yake!! Yeye ategemee kurudi chitoholi!!
 
Ana vina na mizani ndio, ila matusi nayo anayo. Na Hamonize hajaingia kwenye game ili kumshinda Diamond aliingia kwa sababu ni fani yake na anaimudu.
 
Ana vina na mizani ndio, ila matusi nayo anayo. Na Hamonize hajaingia kwenye game ili kumshinda Diamond aliingia kwa sababu ni fani yake na anaimudu.
Nitajie nyimbo ya Diamond yenye matusi?

Sasa Harmonize kafata nini?

Sehemu gani nimeandika Harmonize anataka kumshinda Diamond?
 
Inama nipachike rungu...harmonize bwana
 
Atoke WCB abaki ni juu yake cha msingi atoe ngoma kali Mimi nitasikiliza tu
 
Write your reply...ebu wakat mwingne soma Alicho kiandika mtu na uelew kwanza... Jamaa amejarbu kuelezea tu hali ilivyo na ni kwel...
Ila hakuna sehem amesema harmonize hakusitahil kutoka no

Lkn wabongo sas mnachosoma na mnacho jibu tofaut kbs kwan mna shida gan aseeeeee
 
Mbona nyimbo zake zinagongwa tu wasafi fm tena izo izo mpya
 
Watu mmekalilishwa tu harmonize ametoka pale kwa amani wasafi wenyewe wamesha sema watampa sapoti yoyote atakayotaka hata kufanya kazi nao wakaenda mbali na kusema hata uko yakimshinda anaruhusiwa kurudi nyumbani team zinawafanya watu muwe wajinga
Trust me,hiyo kusema wako tayari kufanya nae kazi tena ni management ya Chibu but not Chibu himself. Akina salam ni wafanyabiashara,hawawezi kujifunga kwa Chibu tu. Ila Chibu mwenyewe anamchukulia Kondeboy kama adui sasa hivi kitu ambacho siyo vizuri. Niliona video flani Chibu anammaind harmonize eti kavaa nguo yake. Kwa kifupi huwezi kupanuka kimziki ndani ya wasafi kwa sababu Chibu hataki,anajiona mfalme pale. Ndio maana harmonize kasanuka,very smart move. Swala la kusema atafanya vizuri au vibaya hayo ni mengineyo.
 
Siku Hizi Ni Rahisi Sana Kujitengezea Kundi La Misukule, Hata Ukijamba Wanasema Yes Boss!

Ukikosewa Wanasema Bbudiwe Boss. Na Domo Kafanikiwa Haswaaaa
 
Siku Hizi Ni Rahisi Sana Kujitengezea Kundi La Misukule, Hata Ukijamba Wanasema Yes Boss!

Ukikosewa Wanasema Bbudiwe Boss. Na Domo Kafanikiwa Haswaaaa
Bila ya kukuvunjia heshima kwanini unawaita wenzako misukule? Kisa wanatofautiana na wewe mtazamo? Kisa wanapenda usichopenda? Kwanini unamwita mwenzako jina baya Domo? Kwakuwa wewe umejiumba mkamilifu?

Hizi ndio chuki ambazo Tanzania zinatusumbua. Kila mtu afanye anachopenda na kinachomuingizia rizki. International Music haihitaji mawaidha inahitaji maneno rahisi ambayo hata wasio wa lugha yako wataimba na kucheza na wewe.
Madjozi katuimbia John Cena huyoooo katoboa sasa wewe imba mawaidha ya Mpoto kama utakatoboa duniani huko.
 
Naona kijana taratibu anateka soko la Bongo ila tu asikubali kuingia kwenye siasa za mziki maana ameshaanza kurusha vijembe na yeye
 
Kwaio unataka apachukie alipotokea?

Bila wasafi ungekua unalitaja ata hilo jina la wasafi?

Mbona wewe umekua ukatoka kwenu kwenda kujitegemea[emoji23][emoji23][emoji23] kwaio unataka kutwambia unamchukia Baba yako na Mama yako!!!

Acha mawazo ya hivyo mkuu tuwasapoti hawa vijana mimi pia napenda mziki wa hawa wote mawazo kama haya yanasababisha bifu ambazo hazina tija

Tunasubiri collabo nyingine harmonize ft diamond au lavalava ft harmonize hivyo basi Kondegang na w<B hizi ni zetu zote
 
Bila ya wasafi ungekua unalitaja ata jina la harmonize?
 
Naona kila mtu ni mjuaji, kazi ipo
 
mkuu tyga alivyojitoa YMCMB bado aliendelea kuwa na kina wayne, na bado anafanya vizuri kwenye mziki aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…