Harmonize aendelea kutumia mgongo wa Wasafi ku-survive kwenye game

Harmonize aendelea kutumia mgongo wa Wasafi ku-survive kwenye game

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Bado anaendelea kutoa video akiwa-tag wababe wa muziki wa bongo WCB ili iwe rahisi kuwafikia watu wengi.

Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa.

20220124_112308.jpg
 
Napingana na wewe kusema kwamba "Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa." Inabidi uwaheshimu wanaofanya vizuri nje ya hao wanaojiona miungu watu kwenye mziki wa bongo
 
Napingana na wewe kusema kwamba "Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa." Inabidi uwaheshimu wanaofanya vizuri nje ya hao wanaojiona miungu watu kwenye mziki wa bongo
Endelea kubishana na ukweli.
 
It's social media business, nothing personal!
 
Kama issue ni title Mwaka Huu vs Mwaka Huu Wangu... hakuna wizi hapo!!

In the entertainment industry:-

1. Hakuna copyright ya title,
2. Hakuna copyright ya idea
Hiki ndicho kilichopo, yaani post ya huyo msanii anayemtuhumu Harmonize kuiba tittle yake ni ujuha kabisa na inaonyesha kabisa yupo kwenye music industry na haelewi how industry business goes!!!!..Wasanii kama hawa ndio rahisi sana kuingizwa mkenge kwa mikataba ya Chief Mangungo wa Msowero
 
Msiojua music ndo mnasema hivyo hizo ni tag na hizo tag zipo toka yupo wcb sasa anatazitoaje kwa haraka hivyo ilihali hata tattoo ya uso wa Diamond MKONONI mwake hajafuta acha ushabiki wakikoloni
 
Back
Top Bottom