sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Ni vizuri nakubali, kijana anatambua njia ya kutengeneza pesa ni WCB.Mwisho wa siku kinachommatter ni kutengeneza pesa.
Kingereza bila ela, ni sawa na kupiga kelele.
Endelea kubishana na ukweli.Napingana na wewe kusema kwamba "Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa." Inabidi uwaheshimu wanaofanya vizuri nje ya hao wanaojiona miungu watu kwenye mziki wa bongo
Hii nyimbo angekuwa katoa, Sadala tungekuwa na threads kama tano hivi.Bado anaendelea kutoa video akiwa-tag wababe wa muziki wa bongo WCB ili iwe rahisi kuwafikia watu wengi.
Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa.
View attachment 2093754
Kama issue ni title Mwaka Huu vs Mwaka Huu Wangu... hakuna wizi hapo!!Hii nyimbo angekuwa katoa, Sadala tungekuwa na threads kama tano hivi.
View attachment 2093905
Hiki ndicho kilichopo, yaani post ya huyo msanii anayemtuhumu Harmonize kuiba tittle yake ni ujuha kabisa na inaonyesha kabisa yupo kwenye music industry na haelewi how industry business goes!!!!..Wasanii kama hawa ndio rahisi sana kuingizwa mkenge kwa mikataba ya Chief Mangungo wa MsoweroKama issue ni title Mwaka Huu vs Mwaka Huu Wangu... hakuna wizi hapo!!
In the entertainment industry:-
1. Hakuna copyright ya title,
2. Hakuna copyright ya idea