Harmonize agoma kupanda jukwaani kisa malipo?

Harmonize agoma kupanda jukwaani kisa malipo?

Masanja Maguzu

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
547
Reaction score
396
Nimesikia Harmonize anashikiliwa hotelini mjini Eldoret kwa kushindwa kulipa bili ya hotel hii ni baada ya kutolipwa pesa ya show nayeye kugoma kupanda jukwaani.

Mlio karibu nae tupeni ukweli
 
Leta habari kamili acha umema umesikia then naww unaleta vitu visivyo kuwa vya ukweli .
Nimesikia Harmonize anashikiliwa hotelini mjini Eldoret kwa kushindwa kulipa bili ya hotel hii ni baada ya kutolipwa pesa ya show nayeye kugoma kupanda jukwaani.

Mlio karibu nae tupeni ukweli
 
Wanasema wanalelewa hao, wanalazwa hotel kubwa kubwa ila hela za maendeleo hawapewi. Dogo achangamke na kipaji chake
 
Dogo alidai YouTube tu wanamlipa 700m Tsh kwa Mwezi iweje ashindwe bill ya Hotel kwenye kimji kama Eldoret?
Cc. Mamba Konki Konki Konki
 
Mleta mada hata ww tumesikia konki konki konk master.amekutaja kwenye list..siku ingine leta habar kamili sio mambo ya kusikia
 
Mleta mada hata ww tumesikia konki konki konk master.amekutaja kwenye list..siku ingine leta habar kamili sio mambo ya kusikia
Kutokana na taarifa za gazeti la daily nations la kenya dogo alisababisha fujo kubwa pale eldoret baada ya kukataa kupanda jukwaani kwa madai hajalipwa wakati nyomi ya watu ilikuwa ishajaa uwanjani ikimsubiri na imeingia kwa pesa ndefu.
 
Ndio wakome kuwatumia wasanii halafu pesa wanawadhulumu!
 
Mapromota wengine sio hebu angalia kama hii ya harmonize . walimdhulumu sana😠😠😠😠😠
 
Back
Top Bottom