Masanja Maguzu
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 547
- 396
Nimesikia Harmonize anashikiliwa hotelini mjini Eldoret kwa kushindwa kulipa bili ya hotel hii ni baada ya kutolipwa pesa ya show nayeye kugoma kupanda jukwaani.
Mlio karibu nae tupeni ukweli
Mleta mada kapumuliwaMleta mada hata ww tumesikia konki konki konk master.amekutaja kwenye list..siku ingine leta habar kamili sio mambo ya kusikia
Kutokana na taarifa za gazeti la daily nations la kenya dogo alisababisha fujo kubwa pale eldoret baada ya kukataa kupanda jukwaani kwa madai hajalipwa wakati nyomi ya watu ilikuwa ishajaa uwanjani ikimsubiri na imeingia kwa pesa ndefu.Mleta mada hata ww tumesikia konki konki konk master.amekutaja kwenye list..siku ingine leta habar kamili sio mambo ya kusikia
Huo ujinga asitudanganyeDogo alidai YouTube tu wanamlipa 700m Tsh kwa Mwezi iweje ashindwe bill ya Hotel kwenye kimji kama Eldoret?
Cc. Mamba Konki Konki Konki
sio baa walikua katika uwanja Wa waziTatizo wanafanyia show bar