Yah, ya Rayvanny haina ladha ya majonziWanashindana nani awe wa Kwanza.
Hiyo ya Konde Gang ina sisimua.
Vanny ameweka kama anaimba romantic songs.
Pumzika kwa Amani JPM.
HujitambuiKifo cha Pombe watu tumlilie kwa kupombeka tu. Bar zisifungwe mpaka maombolezo yaishe.