Wangeungana wote na kutoa wimbo wa pamoja ingependeza sana na siyo kushindana kwenye kipindi hiki cha majonzi.PUMZIKA KWA AMANI MAGUFULI.[emoji1241][emoji1241]
mbona kama unalazimisha hiviKifo cha Pombe watu tumlilie kwa kupombeka tu. Bar zisifungwe mpaka maombolezo yaishe.