Kwani kuna mita mkuu inasoma useme unit zitakuwa zinaisha? Ile kitu ni renewable resources haita kaa iishesasa hiyo mi mama ya mjiji ataiweza na huyu ni dogo.
mzigo hawezi huyo tayari ni mama na kaptiwa na kila aina ya upinde. mashimo yanapanuka watoto kaeni mbali acha tuchimbe sisi mibaba.
Msanii chipukiza kutoka lebo ya WCB wasafi harmonize ameingia kwenye mapenzi na mrembo wa bongo muvi jackline wolper,
Walianza mahusiano wiki kadhaa zilizopita kwa siri kubwa.
Mashabiki wa pande zote mbili wameoneka kumlaume wolper wakidai anambemenda kijana huyo wa kimakonde kutoka mtwara kwa kuwa wamepishana umri mkubwa
Wolper mwenyewe amesema haitaji ushauri wa mtu kuendesha maisha yake ya mahusiano.
View attachment 347925View attachment 347926
Wewe umefunga kazi. Ni renewable resource hiyo.Kwani kuna mita mkuu inasoma useme unit zitakuwa zinaisha? Ile kitu ni renewable resources haita kaa iishe
sahihi kbs Mkuu,ndo kilicholengwa hapo,tena wcb? kuna kufundwa flani pale jinsi ya kumaintain jina.acheni ale nyama ile!ila awe makini na mfuko wake,ndo kwanza ameanza sfrHuyu binti anatumika kumuongezea huyo mtoto umaarufu..
Kijana ahurumii maisha yake..
Amecopy tabia ya kaka yake