Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
AiseeUmeonyesha jinsi gan upeo wako Ulivo mdogo Kiande ww
Huyu jamaa atakuwa wali naziUmeonyesha jinsi gan upeo wako Ulivo mdogo Kiande ww
Dunia ina enda kasi sana,kwaio saiz mtu birthday yake usipo mpost instagram maanake ni kuwa una ugomvi nae au una mchukia duuu,sasa asipo mpost arafu aka mpigia simu na kumuwish direct then asi mpost kuna ubaya wowote?Hakika huku ni kukosa fadhila.
Hivi Harmonize hakumbuki Diamond Platnumz amemtoa wapi mpaka hapo alipofikia,yani neno dogo tu la kumpa hongera na kumtakia mafanikio mema bosi weka linamshinda.
Dogo anapotea vibaya sana kwa mwendo huu .
Wasanii wenzake akiwemo Rayvann ,Lava Lava ,Mbosso ,Dulla Makabili hawakusita kutoa ya moyoni kwamba siku zote waja tukumbuke tulipotoka na watu waliotusaidia, dharau, kiburi na majivuno havifai haswa kwa mtu aliyekushika mkono kipindi ambacho ulioonekana si chochote wala si lolote mbele ya jamii inayokuzunguka.
HAPPY BIRTHDAY BOSS DIAMOND PLATNUM, ulipo tupo.View attachment 1221732
Upuuzi wa hali ya juu, kwani angempost nini kingetokea au hajampost nini kimetokea? Kwanza huyu dada mleta mada anajua leo kutwa nzima huyo Harmonize ameshinda wapi na akifanya nini?Mwanaume wa dar analalamika kuona kidume mwenzake hajapostiwa eti 'happy bday'.
Wanaume wa mkoani tuendelee na palizi.
Dunia ina enda kasi sana,kwaio saiz mtu birthday yake usipo mpost instagram maanake ni kuwa una ugomvi nae au una mchukia duuu,sasa asipo mpost arafu aka mpigia simu na kumuwish direct then asi mpost kuna ubaya wowote?
Mkuu hayo ndio matunda ya akili za vijana wanaoshinda huko wanapopaita insta sijui insha.Upuuzi wa hali ya juu, kwani angempost nini kingetokea au hajampost nini kimetokea? Kwanza huyu dada mleta mada anajua leo kutwa nzima huyo Harmonize ameshinda wapi na akifanya nini?
Sijui lini tutapevuka kiakili,umbea ndio kitu pekee tunachoweza kufanya kwa bidii