Harmonize amefeli sana kutompost Diamond kwenye birthday yake

Hlf ukimtoa mtu haimaanishi basi siku zote atakaa anakutegemea ww tu. Itafika point nae akaweza kusimama peke yake na kufanya yake.
Kweli kabisa kutofautiana na mtu kupo katika maisha. Diamond mwenyewe alitofautiana na clouds wakati walimsapoti kwa namna moja au nyingine, hata kama mchango ulikuwa mdogo lakini na yeye alishikwa mkono. Harmonize ni maisha yake hakuna wa kumpangia cha kufanya. Kumpost au kutokumposti sio ishu..
 
shida siyo kupostiwa ni kivipi mtu anavyokuchukulia moyoni mwake Maisha ya mtandaoni yamejaa ufeki halafu vitu vingine ni vidogo hata havina impact kwa Maisha nitashangaa kukutana na dume zima linalilia kupostiwa hizi ni tabia za wake watu.
 
Kizazi cha birthday, Instagram nk mnamatatizo sana
 
WCB wamemfanyia hujuma nyingi Hamo...walimpa kitoyota Mark X alipe kwa installment zaidi ya thamani ya gari alilipa hela yote at once....kwangwaru alipanga kufanya na Davido..mameneja uchwara wakamwambia Domo dogo atakufunika ngoma kali sana...album yake wakaibania..hivi wazazi wako wakiwa wachawi wanakuulia watoto wako utawapenda pamoja walikuzaa...
 
Hivi unajua chanzo cha Diamond kugombana na Clouds media ni kumpambania Harmonize?
 
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211] ulikuepo kipindi ana lipa
 
hawaja mu wish watoto wa kuwazaa kina tiffa sembuse konde kwani baba yake au ye nani kwani.
Alafu umejuaje kama kampigia simu?
 
Hivi unajua chanzo cha Diamond kugombana na Clouds media ni kumpambania Harmonize?
Kweli kabisa.

Ishu ilikuwa kuhusu malipo,Diamond alikuwa anampambania jamaa aongezewe pesa maana kwenye show kulikuwa kuna madansa pia,

Ruge akamwambia mimi madansa siwatambui ninawatambua wasanii pekee ishu ya madansa hainihusu.

Diamond akamwambia kwamba msanii yeyote yule wa WCB akipanda jukwaani lazima apande na madansa ili kunogesha shoo, sasa na madansa lazima wavae wapendeze ,hivyo ndio maana gharama zao zipo juu.

Ruge akaagiza kamati inayohusika na masuala ya entertainment wafute jina la harmonize na kuanzia siku hiyo hakuna kupiga wimbo wowote ule wa msanii wa WCB wala kuwapa airtime yoyote ile
 
Yeah watanzania ni wanafki sana hili hawalioni tangu Harmonize ajitoe wasafi nasikia sikia nyimbo zake zinapigwa sana Clouds..eti Clouds mara hii wanamuona lulu Harmonize😂😂😂...watanzania ni wanafki sana
 
Still wondering if this is a man lamenting.
 
Vipi kama amemtakia kwa direct message au ameenda nyumbani kwa diamond moja kwa moja kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa

Hawezi enda nyumbani kwa Mond anadaiwa B1 hajalipa mpka sasa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…