Kupitia Instagram ya Harmonize, Harmonize ameanza mwaka mpya kupitia kuandika ujumbe wake mrefu aliomuandikia Diamond kutoa appreciation yake kwa alichomfanyia mpaka kufika hapo alipo.
NB: Kiukweli jamaa kafanya Jambo zuri kama alichokiandika kinatoka moyoni maana watu wa Mtwara hawaaminiki Sana mambo ya vijembe na majungu hayafai kwenye mziki lakini hii itamsaidia kuwawin fans wa Wasafi maana jamaa alikuwa anashambuliwa sana mtandaoni.