Kupitia Instagram ya Harmonize, Harmonize ameanza mwaka mpya kupitia kuandika ujumbe wake mrefu aliomuandikia Diamond kumuomba msamaha na kutoa appreciate yake kwa alichomfanyia mpaka kufika hapo alipo.
NB: Kiukweli jamaa kafanya Jambo zuri kama alichokiandika kinatoka moyoni maana watu wa Mtwara hawaaminiki Sana mambo ya vijembe na majungu hayafai kwenye mziki lakini hii itamsaidia kuwawin fans wa Wasafi maana jamaa alikuwa anashambuliwa sana mtandaoni
Heading yako ni kama ina upotoshaji. Ungesema harmonize kamtumia best wishes Diamond.Kupitia Instagram ya Harmonize, Harmonize ameanza mwaka mpya kupitia kuandika ujumbe wake mrefu aliomuandikia Diamond kumuomba msamaha na kutoa appreciate yake kwa alichomfanyia mpaka kufika hapo alipo.
NB: Kiukweli jamaa kafanya Jambo zuri kama alichokiandika kinatoka moyoni maana watu wa Mtwara hawaaminiki Sana mambo ya vijembe na majungu hayafai kwenye mziki lakini hii itamsaidia kuwawin fans wa Wasafi maana jamaa alikuwa anashambuliwa sana mtandaoni
Ni kipimo cha uungwana zaidi endapo itakuwa kweli mlipishana maneno na mtu mkagombana.Kuomba msamaha ni kipimo cha uungwana sana hongera kwake Rajabu
I hope atayamaliza na mke wake pia kwa kuomba radhi ndoa ile changa isivunjike
Hadi ameomba radhi mitandaoni anajua alipokosea. Na ni kitu cha faraja zaidi ya kuchukia na kumsemaNi kipimo cha uungwana zaidi endapo itakuwa kweli mlipishana maneno na mtu mkagombana.
Laiini wewe unapiga majunguu mitandaoni peke yako tyuuu mwenzio yupo kimya alafu unaibuka unaomba radhii,how come ?
Yap ni jambo zuri lakini jamaa naona kama angejitahidi sana kuzuia mdogo na vidole vyake.Hadi ameomba radhi mitandaoni anajua alipokosea.
Kikubwa ni moyo wa kuomba msamaha kwanza, hayo mengine wanajuana na kaka yake
mama D hekima zako zinaukosha uvungu wa moyo wangu. Usiache kutupia busara hizi zinazoupa moyo wangu amani.Kuomba msamaha ni kipimo cha uungwana sana hongera kwake Rajabu
I hope atayamaliza na mke wake pia kwa kuomba radhi ndoa ile changa isivunjike
🥰Amina Amina Amina💥🙏
🤣🤣🤣🤣🤣Kwani uzi amekuandikia wewe ?