Harmonize amuwekea dhamana Kizz Daniel

Harmonize amuwekea dhamana Kizz Daniel

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,251
Usiku huu Harmonize amemuwekea dhamana msanii mwenzie wa Nigeria aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Polisi la Tanzania.

Harmonize ameweza kumdhamini Kizz Danièl na kuondoka naye kutoka kituo cha polisi usiku huu.
 
saFI SANA NDOMANA NAMKUBALI hUYu jAMAA.. ANajuA KuchunGulIA fuRSA
 
Usiku huu Harmonize amemwekea dhanan msanii mwenzie wa Nigeria aliyekuwa akishikiliwa na jeshi la polisi la Tanzania

Harmonize ameweza kumdhamin kizz Danièl na kuondoka naye kutoka kituo cha polisi usiku huu... Alipokuwa ameshikiliwa.

Baada ya kutotokea kweny show pale next door arena.

_20220808_222352.JPG
_20220808_222417.JPG
 
Huyo kizzy alifanya nini hadi kusweka rumande
Alikuwa na show,kalipwa pesa yote,lakini amefika Tanzania kwa kuchelewa,bahati mbaya begi lake alisahau Uganda hivyo akakosa nguo za kuvaa kwenye onesho.Kwa sababu hiyo hakupanda jukwaani.Juhudi za kumtafutia nguo nyingine zilifanyika lakini alikataa nguo zote zilizopatikana.
 
Back
Top Bottom