Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa 😉 Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu umpendae na yeye akakupenda 😍 leo hii jioni Harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Kajala Masanja.

Inasemekana Pete hio imegharimu bilioni 10 za kitanzania. Pete hiyo imenunuliwa nchini uturuki kwa kina ertugru 😁

Wamependeza sana na wenye wivu wajinyonge 😜 Kwa sasa hii ndo kapo namba moja inayokubalika na yenye ushawishi mkubwa Tanzania na East Africa. Tunawatakia maisha mema na ya furaha tele...✍️

Picha na video chini ni bwana Harmonize akiwa na mchumba wake Kajala wakati wa tukio zima la uvishwaji pete.

IMG_20220625_185752.jpg



 
Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa [emoji6] Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu anaekupenda na yeye akakupenda [emoji7] leo hii jioni harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi kajala masanja.

Inasemekana Pete hio imegharimu bilioni 10 za kitanzania. Pete hiyo imenunuliwa nchini uturuki kwa kina ertugru [emoji16]

Wamependeza sana na wenye wivu wajinyonge [emoji12] Kwa sasa hii ndo kapo namba moja inayokubalika na yenye ushawishi mkubwa Tanzania na East Africa. Tunawatakia maisha mema na ya furaha tele...[emoji3578]

Picha na video chini ni bwana Harmonize akiwa na mchumba wake kajala wakati wa tukio zima la uvishwaji pete. View attachment 2271917
View attachment 2271918
View attachment 2271919
Acha ujinga! Bilioni 10 unaijua wewe? Utajiri wake wenyewe haufikii bilioni10, ndio ije iwe pete ya uchumba tu??!!
 
Huku hamo kule bill, kwanini wasiungane wakafanya pale uwanja wa taifa
 
Lishangazi Limempata kijana wa kimakonde.
 
Back
Top Bottom