Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Nilikwambia yaani haamini kabisa,hizi ndoa za wabongo movie na wabongo fleva tuzitizame kama maigizo.Kwani ndo mara ya kwanza kuolewa? Kulia huwa ni unafki tu kwani huwa hawajui kinachofanyika na unakuta maandalizi wameyafanya wote.....sema mmakonde ndo haamini kapata mwanamke wa kuvumilia lile dude (kama issue iko serious lakini) Evelyn Salt
Safari hii hatoboi, utakumbuka utabiri huu.Si tulikubaliana kuwa hatomaliza mwaka tangu atoke wcb?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila laheri kwao, Kajala anaenda kujimilikisha lile dude la kijeshi....
Cha ajabu ni mwanaume sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguza makasiriko kwenye mambo ya watu.....watu wanamipango yao na maisha yao ambayo siyo lazima ifanane na ya kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujaona kajichamba insta, yaan lokolee kadataaa.ikawe heri kwao..
lokole ataweka wapi uso wake[emoji7][emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa mtabiri tambi tambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natabiri anguko la Harmonize kimziki 06/25/2022
Mwanaume wa kiafrika kumpigia mwanamke magoti jambo la kufikirisha sana๐
acha uchawiNatabiri anguko la Harmonize kimziki 06/25/2022
Mwanaume wa kiafrika kumpigia mwanamke magoti jambo la kufikirisha sana๐
Litamu, liko poa๐๐ unapenda vitu mifupa iko mbali eehKwani hawa wana umri gani, Kajala liko poa sana, mengine mimi hata sijui ila kijana ngoja atafune kitu mfupa uko mbali.
Kwani Shilole ameolewa? Nalo litam linaonekana.
Eeh mimi napenda mifupa ikalie mbali kabisa, kifua kikubwa...hips na tyako lake..aaagr!Litamu, liko poa๐๐ unapenda vitu mifupa iko mbali eeh