Harmonize anafanya nini Marekani?

Kuna kipindi Nilipitia Instagram Niliona Kama Harmonize Anataka Kwenda Marekani Kufanya Tour Kule. Nilijiuliza Vitu vingi sana kuanzania Management aliyonayo, Promoters Anao Watumia na Aina ya Nyimbo alizo nazo na Watu alio washirikisha.
Lazima atafanya kolabo.
So, mwisho wa siku safari yake haitakuwa na hasara.
 
Kuigaiga tu,Diamond kaenda marekani na yeye anataka aende km mtoto wa kambo.
Nyimbo zenyewe nyimbo gani anaimbaga huyu mmakonde
 
Reactions: Qwy
Mpaka mzigo uishe ndo arudi bongo.

Kaa kwa kutulia, dogo anakula shortcut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…