Mallia
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 437
- 1,562
Usiku wa jana kijana Harmonize kuna video zilisambaa na picha akionyesha kumsujudia Madam Ritha angalia hiyo picha hapo
Chanzo cha kumuabudu mwanadamu mwenzake anasema eti Madam Ritha baada ya kumkataa bongo star search ndio amemfanya afike hapo alipo
Kwa sasa hata mziki wake amekuwa hana mpangilio mzuri wa kuachia nyimbo yaani anatoa nyimbo kila wiki or mwezi ilimradi tu ametoa nyimbo yeye twende, mwisho wa siku anaachia kazi mbovu
Mfano hii juzi aliyotoa anaita bakhresa, kwa sasa amekuwa akishindana na Diamond akiona mwenzie katoa nyimbo na yeye lazima ataingia studio atatunga ugoro wowote tu ilimradi ashindane mwisho wa siku hamna lamaana
Bwana mdogo anahitaji management nzuri ya kumshauri kuachana na mziki wa majungu anatakiwa atafute wanamziki nnje ya tazania afanye nao colabo mzki uvuke nnje apige hela, akiendekeza miziki ya majungu atashuka na kuwa mwanamziki local wakati alishaanza kupaa kimataifa