Harmonize Anapoelekea Atamzidi Ubora DiamondPlatnumz

Uwage unaona aibu kuongea ujinga mbele ya wazazi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Condeboy Ile wimbo ya amekimbiwa na mkewe, nikiusikia hua nakumbuka mbali Sana. Wife aliondoka akaniachia watoto. Nilipata shida Sana.
Ila mwambieni aloninyima Mimi ndio kampa yeyeyee, kupata foleni nasubiri yangu Mimi hata ichelewe. Mmh sina furaha naigiza ilimradi, watoto wasijihisi vibaya, huyu mdogo anauliza, eti daddy mama ameihama Kaya....
 
Mkuu pole kwa yaliyokukuta! Kwanini wife alikukimbia?
 
Walikuwepo kina britney spears waliwikaa na si kwamba ni uzee ndo umepatoa kwenye chart No, kuna kipindi umashuhuri unaishaa.
Kama unalijua hilo who is he not flop one day? Hakuna msanii aliyabaki kileleni maisha yake yote. Cha muhimu ni kuhakikisha anatumia vizuri muda wake anaokuwa peak kukusanya kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya maisha yake baada ya usanii kuisha. Kwa hilo Diamond kafanikiwa.
 
Tako lina supportiwa na mgongo kumbuka ucsahau ilo ,
 
Diamond ni Msanii Mwenye Nyota, Nguvu & Ushawishi, ila kwenye swala la kuimba, Lyrics & Melody Kwa sasa Harmonize ndiye Msanii namba moja WCB.
 
Ni kweli mkuu jamaa kafanikiwa kujipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…