Harmonize anazingua, huu wimbo ni wa hovyo sana

Harmonize anazingua, huu wimbo ni wa hovyo sana

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kwa utoto huu anaofanya Konde Boy ndio tuendelee kumuweka kwenye mizani sawa na la Masimba Dangote [emoji3063]?

Konde Boy anakipaji kikubwa sana akiacha kukurupuka kwa stress za wasanii wengine, pia management yake ni ya hovyo sana kwani inashindwa kumshape msanii kutoa ngoma kali kama single again.

Hii ngoma aliyomshirikisha Mmarekani ni mbovu sana, what a waste of MB. [emoji3063]

1706759566183.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wimbo mkali sana,kumbuka kobdeboy target yake ni soko la kimataifa,hata alipotoa single again watu walibeza lkn ndo ngoma iliyoenda kimataifa kwa 2023 tanzania nzima!
Nyimbo nzuri, hata mi kani suprise.
👉Nili jua ata imba mapenzi, kumbe vingine😄🤒
 
Back
Top Bottom