Kijana ana ndoto ya kubeba Tuzo za Grammy....so lazima tumshauriNyimbo NI nyingi mnoo kwenye huu ulimwengu za kusikiliza,,kama ya hovyo Acha kusikiliza Mbona Kazi ni nyepesi tuu
Nyimbo nzuri, hata mi kani suprise.Wimbo mkali sana,kumbuka kobdeboy target yake ni soko la kimataifa,hata alipotoa single again watu walibeza lkn ndo ngoma iliyoenda kimataifa kwa 2023 tanzania nzima!
Kweli ni muhimu sanaElimu, elimu, elimu aliskikia mwanazuoni mmoja
[emoji23][emoji23]Nyimbo Kali mnoo, ni vile uke kurupuka tu[emoji855].
[emoji117]Bien kaua mnoo
Labda tusubiriWimbo mkali sana,kumbuka kobdeboy target yake ni soko la kimataifa,hata alipotoa single again watu walibeza lkn ndo ngoma iliyoenda kimataifa kwa 2023 tanzania nzima!
😯Kijana ana ndoto ya kubeba Tuzo za Grammy....so lazima tumshauri
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app