Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Harmonize your is a waste of talent
Al ndio application gani mkuu,hebu iandike vyema na sisi tutambe
Wabongo wanaotumia huu msemo wangejua maana yake wasingeutumia tena. Wajaribu kusema hivyo kwa a Jamaican, lina maana mbayaBombo cla ndo nn
Mimi simoKaumaliza mwendo sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kusema we was ni sawa?Hapana, hapo alikuwa anamaanisha "tulikuwa tunauza jumla!"
Hii kitu nzuri sana.
Kwa maana yake mwenyewe!Unataka kusema we was ni sawa?
๐๐๐๐๐๐๐๐๐We was seling total - Tulikuwa tunauza pamoja๐คฃ๐คฃ