Harmonize, asante kijana umemuimbia mzee wetu kwa hisia

Harmonize, asante kijana umemuimbia mzee wetu kwa hisia

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Nimesikiliza wimbo wa Harmonize, nyimbo ya maombolezo.

Kwa kweli asante sana kijana wetu, wimbo wako una hisia kali na umenitoa machozi. Kwenye wimbo Kijana kamlilia mzee, anasema kama siyo juhudi za mzee watu wa kusini lile daraja wangelipata wapi.

Kijana kaimba kwa hisia kali kwelikweli. Anaimba jinsi maraisi wenzie, Magufuli, Kikwete na Mwinyi wanavyomlilia.

Rest in Peace Benjamin Mkapa, You are our hero!

 
Kusini kawaachia daraja tu, ye kaendazake Lushoto a=Sijui ni kwa kuwa inaanzia na "LU" na kuishia na "O" kama kwao??
 
Naelewa kwa nini wcb wanamuchikia sana wamepoteza dume linalojuwa kuimbaa ..wao waimbe tu nyegezi na vumbi na makurusa [emoji51][emoji51][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]

Sent from my HUAWEI VNS-L31 using JamiiForums mobile app
 
Huyu hamna kitu show off tyu naukubali wa msechu
Msechu amekosa tu kundi la kumuunga mkono ila wimbo wake hauna mpinzani katika nyimbo zote zilizoimbwa juu ya hayati BEN MKAPA
 
Msechu amekosa tu kundi la kumuunga mkono ila wimbo wake hauna mpinzani katika nyimbo zote zilizoimbwa juu ya hayati BEN MKAPA

Ile nyimbo ya msechu ilishaimbwa, kabadili mashairi tu Melody used. Ya konde boy Ni new song
 
Back
Top Bottom