Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
anaweza kusema huo wimbo (sijausikiliza) ametungiwa na diamond platinamuinnocent dependent njoo tumsifie konde
Huu msiba watu wameuvuruga sana
Sasa kaimba nini huyu?
Hakuna utaratibu kila mtu anafanya yake
Pumzika kwa Amani Papaa
Wimbo bora wa kusikiliza ni ule wa chibonge PETER MSECHU wa Tutaonana MKAPA, ameutendea haki kila idara.
Msechu amekosa tu kundi la kumuunga mkono ila wimbo wake hauna mpinzani katika nyimbo zote zilizoimbwa juu ya hayati BEN MKAPAHuyu hamna kitu show off tyu naukubali wa msechu
Msechu amekosa tu kundi la kumuunga mkono ila wimbo wake hauna mpinzani katika nyimbo zote zilizoimbwa juu ya hayati BEN MKAPA