PreGE2025 Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la Tandahimba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watanganyika huwa tunakosea sana kwenye hili.

Hawa watu tumewajua kupitia muziki, siasa watakua wanalazimisha sababu za umaarufu wao kitu ambacho sio sahihi?
Tunatakiwa kubadilika kwenda na wakati kwa kuajiri wanasiasa wenye the muscle powers na kumaliza matatizo madogo madogo ya jamii!, tumefika stage, tunajengewa na mfadhili hadi matundu ya choo!. Aibu!.
Hawa madogo wana mkwanja mrefu, hata Iringa mjini nimeshauri waende na Fred!, siasa za kisasa sio siasa za blah blah, ni siasa za something!.

Mimi nikijipima uwezo wangu wa kuchangia hoja, naujua, nimeshuhudia jinsi tulivyojaza mijitu mijinga kule mjengoni, nikaamua 2020 na mimi nijitokeze Kawe nikasaidie, nikajinadi kwa mkono mtupu, nikala za uso!.
Mwenzangu Gwaji Boy kwanza alifanya 'mambo', kisha akaahidi kuleta Tingatinga 10, kila kata tingatinga lake litachonga mabarabara ya kila mtaa, na kila mtaa atatoa lori za tipper 2!.

Wavuvi wa Kawe wakaahidiwa kupelekwa Japan kujifunza na kupatiwa boti 100 za kisasa za uvuvi. Wajasiriamali wadogo wakaahidiwa kupelekwa Birmigham, Marekani na kupewa mitaji!. Kitaifa akaahidi kuleta Jet na kujenga reli ya treni ya umeme kama ulaya. Nikatoswa, akapitisha, sasa ni miaka 5 he delivered nothing!. Angekuwa Dai ama Harmo , angalau angeweza kufanya kitu!.
Angalia Dai alichowafanyia wana Tandale Kwa mambo makubwa anayoyafanya mtoto wa Tandale, kama wananchi wakimuhitaji tuu, Kubenea mpishe!. akiwa mbunge atafanya makubwa!.
P
 
We have to be serious.

Ikiwa unachoongea kina mashiko tuanze na Babu Tale tuone amefanya nini katika jimbo lake .

Yaani wewe mayalla hautazami mbele na kuangalia mambo kwa picha ya ukubwa.

Mfano hapo Tandale hizo nguo za used na mkono wa Eid ndo mambo Makubwa amefanya diamond hadi apewe ubunge ?.

Tuambie Kajenga shule ngapi
Kajenga zahanati ngapi
Kajenga visima Vya maji vingapi

Tupe hizo takwimu ili tuone kuwa diamond amefanya mambo Makubwa Tandale.


Then Unapomzungumzia Fred Vunja bei unasahau kuwa mafanikio yake yametokana na kupata tenda za Serikali

Je unajua unapokuwa sisiemu unafata kitu lile dill za kuanda uniform za Askari unafikiri alilipwa kias gani.


Punguza uongo mkuu -ubunge unahitaji watu smart na sio unavyojaribu kuongea hapa.


wote hao wana chase pesa Ila hawana chochote watafanya .
 
Dah
 
Mnashabikia mwanzoni
Alf mnakuja kulalamika kuhus viongoz
 
Huyu bwana mdogo angemsikiliza.magufuli kipindi kile angezawadiwa jimbo ila kwa sasa asahau
 
We mzee akili zishaanza kurudi utotoni.
Harmonize ndio awe mbunge..
Napenda muziki wake ila akili zake ni mbili kasorobo.
kwani mtu kuwa mbunge Tanzania,unahitaji akili za nini?, unahiaji kuwa pesa tuu!。Pesa anazo, why not?,kama Tale Tale ameweza, nani atashindwa?。
P
 
kwani mtu kuwa mbunge Tanzania,unahitaji akili za nini?, unahiaji kuwa pesa tuu!。Pesa anazo, why not?,kama Tale Tale ameweza, nani atashindwa?。
P
Kwahiyo faza, kuwa na mbunge kama yule TALE TALE kwako ni sawa, Faza mbona unatafuta tuongee kauli tupate radhi kwa kuwakosea adabu watu wenye uwezo wa kuwa baba zetu!!!
 
Akina msukuma na wangine design yake ni kupiga meza tu, hoja zenye terminologies za kisomi wao ni ndio ndiooo
Hawelewi chochote

Kuwe na vigezo na mchujo mpaka mtu awe selected kugombea. Atleast degree

Uwaziri uwe ni masters na kuendelea
 
kwani mtu kuwa mbunge Tanzania,unahitaji akili za nini?, unahiaji kuwa pesa tuu!。Pesa anazo, why not?,kama Tale Tale ameweza, nani atashindwa?。
P
Tale aliweza au alibebwa kwa upepo wa jpm? Mtu hata kujielezea ni changamoto

Kuna haja ya vigezo kuwekwa, miaka hii si kujua kusoma na kuandika, wasomi ni wengi mno
Degree , uwaziri masters
 
Asante kuniheshimu Baadhi ya Wabunge ni Stupid!, Tanzania haina Demokrasia!, Bunge ni Rubber Stamp!- TBC, Watch Now! Dai,Hamo,Wopa,Balevo,Mwijaku hata Magari,wanaweza kuwa wabunge wazuri tuu, hata Gigi!

P
Lazima nikupe heshima sababu mimi mtu mwenye 60+ anafaa kuwa mdingi.

Bungeni wanahitajika watubwenye utimamu wa akili, wenye elimu nzuri,
Hivi doto magari na wenzie hao wana akili timamu kweli! Kiasi cha kuwa wabunge.
Baada ya iina doto basi kina harmorapa ndio watafuata kuwa wabunge.
 
Ni heri nchi yeyote duniani kuongozwa na utawala mkali wa kiislam na kiimla kuliko kuongozwa na wabunge wa jinsia ya kiume waliotoboa masikio na pua pamoja na kuvaa hereni
 
Asante kuniheshimu Baadhi ya Wabunge ni Stupid!, Tanzania haina Demokrasia!, Bunge ni Rubber Stamp!- TBC, Watch Now! Dai,Hamo,Wopa,Balevo,Mwijaku hata Magari,wanaweza kuwa wabunge wazuri tuu, hata Gigi!

P
Lazima nikupe heshima sababu mimi mtu mwenye 60+ anafaa kuwa mdingi.

Bungeni wanahitajika watu wenye utimamu wa akili, wenye elimu nzuri,
Hivi doto magari na wenzie hao wana akili timamu kweli! Kiasi cha kuwa wabunge
Yaani kina doto magari wapitishe na kutunga sheria, wapitishe bajeti hawa, shughuli zote za bunge wafanye kina doto magari, dingi acha masihara.
Tutegemee na harmorapa nae aje kuwa mbunge.
 
Chitoholi ,ndoto ilikuwa kucheza Ball.

Ni Ujinga nikandokea Umachinga ,Kuna wengine walisema eti siwezi kuimba ,Mungu si athumani akanikutanisha na SIMBA ,now i make my paper.

Bomboclat....pisi hizo pisi hizo ,kwanini vitu vizuri vyote viwe vya shetani? Eti Muziki shetani ,Pesa nazo shetani ,mpira na pombe shetani ,ngono na mihadarati shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…