Nadhani kiki zinamsaidia kwa namna fulani,sasa isingekuwa kiki angeimba wimbo ule aliomuimbia kajala ? ,haya mambo ya kiki Harmonize anayaweza sababu anatengeneza kazi
Mimi naupenda ule wimbo amenuimbia kajala na pia niseme tu kwamba jamaa ana kipaji, Labda useme apunguze lakini sio aache kiki sababu zinamfanya anatengeneza kazi nzuri