Harmonize atafuta kiki kwa Hamisi Said mshiriki wa BSS

Mkuu hii ndio maana halisi ya uzi wa kipuuzi sio ile uliyosema siku ile kwenye poat yangu.
 
Je ulijua diamond angekuwa maarufu?,..je ulijua harmonize angekuwa maarufu Hadi wewe unamjua?..basi maisha ndo yalivyo..mwisho wetu hatuujui...
 
Nasikia hata harmonize katokea huko bss,halafu jamaa akamchukua baada ya kutolewa,na kipindi kile aliimba vibaya zaidi ya huyu.
 
jumalokole acha roho za kichawi.mmeo kazoea kutafuta kick kwa wananawake kick zinapatilana popot kasoro kwa mashoga tu.
 
Mwambieni huyo Harmonize arudishe video ya UNO youtube wengine tulikua hatujaiona.
 
Ila kumbuka harmonize alikuwa mshiriki BSS tena walimkataa mapemaaaaa watz hatkuwai kumjua adi alipotoka kimziki ndo kuanza kumkumbuka, ni malengo na jitihada
 
Maskini na tusiokuwa bize ndo kazi zetu za unabii kwenye maisha ya watu tusishangae ya mleta uzi
 
Dada powa huyo
 

Bss huwa sielewi wanachokifanya kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…