music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Show yenyewe hata watu 1500 hawajafika.Msanii aliyelelewa na kutengenezwa kwenye record label ya Wasafi, Harmonize aka Konde Boy sasa ametangaza vita na Wasafi.
Ametumia page yake ya Instagram kuishambulia show ya boss wake wa zamani aliyemtoa kimuziki Diamond Platnumz.
Harmonize ameiita show ya Diamond ni mkutano wa hadhara au mkesha wa maombi kwa sababu haukuwekwa kiingilio.
Wataalam wa mambo wanasema Harmonize amechokoza mzinga wa nyuki ajipange kupambana na mashabiki watiifu wa Wasafi ambao ni asilimia 86 ya washabiki wa bongo fleva.
View attachment 1309980
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa karibu na Harmonize ningemshauri afanye kazi zaidi aachane na mbwembwe za insta. Bado anaitaji kujenga ngome imara ili kuingia kwenye vita na mababa wa bongofleva. La sivyo ataishia njiani ya safari, hizi mbwembwe hata Hamorapa alikuwa nazo na hazikumfikisha popote. Apige kazi kwanza tuone na afanye vitu vikubwa kwenye muziki kama kutoa hitsongs back to back hata kwa mwka mmoja, achukue tuzo kubwa za dunia, afanye show kwenye matamasha makubwa nje ya nchi, apate endorsements nono nk nk.Show yenyewe hata watu 1500 hawajafika.
hao walioingia wamelipa au ni bure?Show yenyewe hata watu 1500 hawajafika.
Hapo ni shinyanga co mtwaraShow yenyewe hata watu 1500 hawajafika.
Harmonize anawanyima usingizi haki. Yaani jeshi la mtu mmoja tu lakini anawachanganya kundi zima hadi chawa wao tena kawaambia wajikaze watazoea tu.View attachment 1310092kunya anye kuku akinya bata kaharisha aiseee
Harmonize anawanyima usingizi haki. Yaani jeshi la mtu mmoja tu lakini anawachanganya kundi zima hadi chawa wao tena kawaambia wajikaze watazoea tu.