Harmonize ataweza walipa Wasafi billion 1?

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,951
Mtihani mzito kwa Konde boy, anatakiwa atoe billion 1 ili apewe copyright ya nyimbo zake na kuachiwa account za youtube na Instagram.

Kwa hiyo kisheria na kibiashara Harmonize bado ni msanii wa Wasafi.
 
Unaweza thibitisha hili maana kila mtu anasema lake wengine 600mls wengine alipeleka hiyo ela cash na wewe sasa wasema bilion 1. Nani anasema ukweli
Mtihani mzito kwa Konde boy, anatakiwa atoe billion 1 ili apewe copyright ya nyimbo zake na kuachiwa account za youtube na Instagram.

Kwa hiyo kisheria na kibiashara Harmonize bado ni msanii wa Wasafi.
 
Mtihani mzito kwa Konde boy, anatakiwa atoe billion 1 ili apewe copyright ya nyimbo zake na kuachiwa account za youtube na Instagram.

Kwa hiyo kisheria na kibiashara Harmonize bado ni msanii wa Wasafi.
Sijajua Copyright za nyimbo zake,lkn acc zote Youtube na Instagram zipo chini yake Harmonize na ndio maana nyimbo yake aliyofanya na Eddy Kenzo aliiupload katika hiyo account yake ya youtube na kuifanyia promo katika account yake ya Instagram.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…