Harmonize atoa wimbo mpya, asema yeye ndio mfalme hana haja ya kuongea tena, anauacha mitaa iongee

Harmonize atoa wimbo mpya, asema yeye ndio mfalme hana haja ya kuongea tena, anauacha mitaa iongee

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize kusema yeye ndio mfalme wa muziki wa kizazi kipya na hatowakumbusha tena na kuacha mitaa iongee.
 
Leo nakutoooo...totoo

Jiandae leo nina hamu ya kukutooo... totoo

#kukutoa out 🤪🤪
Kwa hiyo kutoto Abdallah kichwa panzi ndiyo anapakwa Mkongo?

Au wewe ndiyo Harmonize mwenyewe?
 
Leo nakuto.... totoo nakutoa kwenu uje kwangu

Nina hamu yakuto....totoo kutoa mahali uwe wangu

Basi sema unakuja saa ngapi ama kwenu umeshakatazwa

Said kichwa nitamueka wapi na mkongo nimeshampakaza

lyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza

Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza

Wahuni sandakalawe amina aah mwenye kupata

apateee
 
Hili song biti lake sio la mchezo mchezo...ukiwa na kinu OG ndo utajua hili biti lina kita aje...it shakes my livingroom...[emoji1787][emoji1787]
 
IMG_4721.jpg

Biti la hyu mwamba harmo ka copy na kupaste
 
Back
Top Bottom