Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very true...Safi sana DIAMOND sasa umeshawatoa watu kwenye kukulinganisha wewe na yule nani sijui ... hadi kulinganisha wasanii waliochini yako ( Raymond na Harmonize wote wapo chini ya lebo ya WCB ambayo ni ya DIAMOND) na kwasasa tuna njia ya mkato kabisa ya kujua nani zaidi ya mwenzie na sio hisia ( na ndio huko kibakuli alikuwa anachoka akiangalia anavyosiwa na hali halisi si kweli ) Hebu ingieni hapa uangalie hizo top 20 za kila wiki. CMEA | CMEA