wachezaji wapya wa Yanga Afrika kutoka KongoHao ndio wakina nani?
We kweli mzaramo...wachezaji wapya wa Yanga Afrika kutoka Kongo
Hao ni wasaniii wa kizazi kipya... Wanaimba Bongo fleva.Hao ndio wakina nani?
Sukari ndo starehe gani iyo [emoji15] inaizidi hata bia beiati bei ya SUKARI ni 3500??
umejuaje kua ni bongo flevaNdugu yangu unaweza kuona ni Utani lakini ndio ukweli huo sie wengine bongo fleva zilitupita kushoto...tulisha achana nazo tuwaachie Watoto wetu hayo mambo...