fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Chap Chap...UZI tayari
Sindano hyooUZI tayari
Nambie muuza duka johniFundi Maiko
Kwa harakaaaaChap Chap...
NdyoNdo wimbo mpya au
Harmo ni nakala ngumu ya Diamond. Elewa hivyo ili uwe na amaniEeeh! Jeshi ( Umemuiga Diamond kwenye Kanyaga pale anaposema 'Zombiie') Daah! Nyimbo ulianza nayo vizuri ila umezingua nyimbo, unacheka cheka tu, hatukuelewi wala nini.
Acha miyeyusho ujue siku hizi umefanya hata Wamakonde tusiaminike mitaani. Aah!
#yesbishoohaswaaaa