Harmonize Huu ni muda wa kuungana Na Clouds (CMG),Utafika mbali Bro.

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
635
Reaction score
2,321
Hey Guys...

I Hope mko poa wakubwa,,,Ryt,,??

Okay Fresh

Najua watu wengi nikiwemo Mimi wanajiuliza,Je Ngoma za Harmonize zitaanza kupigwa Clouds baada ya kujitoa kwenye lebo ya hasimu wao?

Hilo swali wengi hatuna majibu.

Nakumbuka kipindi bifu la Diamond na Alikiba linaanza lilikuwa ni bifu kubwa sana Kutokana na ushindani ulio kuwepo,Clouds walijitahid kukuza bifu lile ili angalau kumpunguza nguvu Diamond,kweli kipindi cha mwanzoni lile bifu Nahisi Hata Mond Mwenyewe lilimtetemesha kidogo japo hakutaka kujionyesha wazi,

Hilo bifu liliendelelea ila mwisho wa siku mshindi alikuja kupatikana ambaye kila mmoja anamjua Ni Simba AKA Dangote,Moja ya sababu kubwa za Alikiba kushindwa ni Kutokana na mziki wake kutokuwa na ubunifu,pia utoaji wa nyimbo ukawa ni hafifu kwa madai kuwa nyimbo zake zina ishi so hawez kutoa track kila muda,Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa upande wa pila ambaye ni mshindani wake,Diamond Platnumz,yeye aliamini kabisa mziki ni biashara na kama ni biashara lazima ahakikishe walaji wake (Mashabiki) kila baada ya muda flani awape Chakula kipya,Mtindo huo wa Alikiba ilifikia hatua Hata wanao msapoti waachane naye wakiwemo clouds wenyewe wakabaki wanamsapoti kishingo upande,

Mpaka Muda huu Mziki huu wa bongo hauna ushindani tena Bali wamebaki wale wanao mchukia Diamond na kujifanya eti wao ni team mziki mzuri (Team kiba).

Kwa mtazamo wangu hapo juu ni kuwa Harmonize kwa uwezo alionao ni kwamba ana uwezo kwa 70β„… kumtetelesha Diamond endapo akichanga karata zake vizuri,Harmonize anacho takiwa kufanya ni kuwa karibu na clouds na kwa uwezo alio nao wa kuimba na kuachia song back to back naona kabisa Clouds wanamhitaji Konde boy kuliko Alikiba,Alikiba hakuwa chaguo sahihi Bali Jamaa alibebwa na wanao mchukia Diamond ila hawakuwa mashabiki.

Simaanishi Harmonize Anaweza kuwa Sawa na Diamond ila akicheza vizuri Anaweza fika mbali coz Jamaa tayari ana connections na wasanii wengi kwa sasa tofauti na Rich mavoko aliye ondoka akiwa hajajijenga vizuri.

Harmonize Najua kwa Muda huu mfupi atayumba ila akichanga karata zake vizuri Anaweza kuwa mkubwa zaid ya alivyo kuwa WCB,Anacho takiwa kukifanya ni kusimama mwenyewe na kutumia njia zile alizo jifunza kwenye chuo (Lebo yake WCB).

Harmonize Hizo views ulizo kuwa unapata kule You tube hazikuwa zako Bali zilikuwa za Diamond so zisikuteteleshe na kukukatisha tamaa baada ya kuona zimepungua,Huu ni Muda wa kutengeneza views zako ili uone ukubwa wako.
 
Hao watampa tu kiki za ndani, ila huko duniani watamsahau
 
Asidanganyike kuruka maji akakanyaga moto
 
Unamjua Sallam vizur? Huyo ndo master mind engineer wa connection , hapa bongo hakuna kama jamaa, Clouds pamejaa washamba pale hawawezi lolote,....Harmonize Hana kipaji chochote kuzidi aslay, Barnaba boy, jux au baracka ze prince, Hana umafia wowote kwenye mziki, mavoko alidanganywa hvo hvo, aslay naye vile vile, mwisho wa siku wamewatumia wakawatupa, kiufupi tu harmonize is dead and gone, mda ndo mwamuz sahihi
 
Endelea kukalili maisha hvo hvo
 
Harmonize awezi kumtetelesha diamond hata kwa 20%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…