Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hahahaha lala bwanaHuyo mayonize akitoka huko aende oysterbay polisi akaeleze kwanini alitaka kumpea kodi kijana wa watu chumbani, asilete Upididy bongo
As they said “You either die a hero or you live long enough to see yourself become the villain”You truly become what you hate 😅
Jamani jamani hii vita ya wamakonde asiingilie mtu waachieni wenyewe, maana hao jamaa hawaelewi na hapo wamekutana,No Reforms No Elections hatutoki hapa
labda aliogopa akimpea hadharan watu watamuibia.Huyo mayonize akitoka huko aende oysterbay polisi akaeleze kwanini alitaka kumpea kodi kijana wa watu chumbani, asilete Upididy bongo