Harmonize in WCB

umenena
 
Sawa Tanasha
Man unaelekea hutaki kukoselewa manake kila aliyekukosoa, mara umuite Bi Sandra, mara umuite Tanasha!!!
Kuna mtu kakwambia hizo habari za Diamond siku zake zimeisha, na mwenyewe umemuita majina ya kuchukiza! Man, penye kukosolewa kubali kukoselewa! Hebu soma hii habari: Hiyo ni habari ya mwaka 2013, nami kamkumbuka huyo Yahya alisema hayo wakati akihojiwa na EATV. Miaka 6 imepita lakini Diamond aliyesema alikuwa hapewi hata shows za 7 Million, leo hii hata kwa 20 million hapigi show! Na threads za kutabiri kuanguka kwa Diamond zipo hapa JF kwa miaka kadhaa sasa, lakini jamaa yupo pale pale!!!

Hata hivyo, nakubaliana na wewe kwamba Harmonize bila WCB sio Harmonize! Na akitaka asahaulike ndani ya mwaka 1, atoke WCB!

Binafsi, simkubali kabisa Harmonize! Namwelewa zaidi Rayvann ambae yupo unique kuliko Harmonize ambae ni clone ya Diamond! Almost anaiga kila kitu kutoka kwa Diamond!
 
Umesema vyema mkuu..
Bei ya mond kwa show kwa sasa, hakuna promoter wa bongo anayoiweza...
Yule jamaa ana team smart nyuma yake inayojua biashara na inayompa nguvu....naye si mchoyo, anaishi vizuri na team yake ndo maana wanafanya makubwa kila kukicha.

Kwa sasa ni superbrand, na kibrand hakuna msanii wa kulinganishwa naye hapa bongo.
 
Kwel kabisa
 
Habari za mda huu wakuu

Ivi nani anamzidi uyu Harmonize pale WCB? Harmo anakimbiza mpaka nnaona kama yeye ndo anaibeba WCB(kwa mtazamo wangu), na vipi kuhusu Mr Q-Chillah ka sign pale kwa Domo?
Hujui WCB inafanyaje kazi na wasanii wake
 
Paragraph ya mwisho analysis yako naipa 100%, that Vannyboy is so creative, unique and talented.
Harmonise ni Diamond clone, copy and paste kwenye kila kitu.
 
Nilikua nao huo wimbo ila nimeshaufuta maana sio mzuri kama mad over you, gimme love, for life, energy, walahi remix yani kwa kifupi jamaa keshapotea..
Hapana hata Davido wakati ule amemtoa Diamond ilionekana kama amepotea ili with time atakuja na nguvu mpya.
 
Hapana hata Davido wakati ule amemtoa Diamond ilionekana kama amepotea ili with time atakuja na nguvu mpya.
Davido yupo fresh kuna nyimbo inaitwa Osanle niliidownload bahati mbaya nikaja kukuta ipo mwake hatari, labda sababu napenda miziki iwe inadunda kama sasa hivi nimeweka repeat kwenye ngoma ya G Nako - Kitonga...naimagine kama vile nipo kwenye BMW X5 na mabebizz kibao wamevaa swimming costumes pembeni na serengeti lite za moto...
 
Hizi stori nilizipata toka Nairaland wanaija wenyewe wanaona jamaa anazingua na ukisikiliza nyimbo zake za sasa hivi ni hakuna kitu
Duh Yaani Mpaka Ulivyokuja Kutukumbusha Kuhusu Yeye Ndo Tumemkumbuka! Tulikuwa Tushamsahau
 
Napendaga Nyimbo Zenye Bass Nzito Sio Soft. Ebu Nitajie Unazozijua Nzitafute Mkuu
 
Napendaga Nyimbo Zenye Bass Nzito Sio Soft. Ebu Nitajie Unazozijua Nzitafute Mkuu
Ngoja nikuwekee screenshots uzishushe anza na hio inaitwa Iscathulo -Busiswa ingine inaitwa Sdudla - Winnie Khumalo aisee biti nzito kinoma halafu raha sana kusikiliza nyimbo zingine zinamabiti ya south afrika
 

Attachments

  • Screenshot_20190726-000027_Poweramp.jpg
    120.1 KB · Views: 12
  • Screenshot_20190726-000018_Poweramp.jpg
    121.9 KB · Views: 15
  • Screenshot_20190726-000011_Poweramp.jpg
    132 KB · Views: 11
  • Screenshot_20190726-000003_Poweramp.jpg
    136.3 KB · Views: 11
  • Screenshot_20190725-235953_Poweramp.jpg
    134.7 KB · Views: 13
  • Screenshot_20190726-000048_Poweramp.jpg
    117.9 KB · Views: 13
  • Screenshot_20190726-000041_Poweramp.jpg
    126.8 KB · Views: 14
  • Screenshot_20190726-000034_Poweramp.jpg
    130.5 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…