Harmonize in WCB

Kwani hapo Domo aliimba mwenyewe? Kuna vichwa vya kwetu vilikuwa hapo mzee kina BIG FIZZO, SAT-B na wengine
 
Kwani hapo Domo aliimba mwenyewe? Kuna vichwa vya kwetu vilikuwa hapo mzee kina BIG FIZZO, SAT-B na wengine
Hahahahahahahahah Only one Simba acha kumlinganisha na hizo takataka.........THIS IS SIMBA & THIS IS HOW WE DO
 
Kwani hapo Domo aliimba mwenyewe? Kuna vichwa vya kwetu vilikuwa hapo mzee kina BIG FIZZO, SAT-B na wengine
We jamaaaa 12 Marook una macho lakini huoni sasa dawa yako ni moja harmonize na domo wapige show wote same city DSM,nairobi au kampala tuone nan atakayeahirisha show...kama tu wajinga makumazani mawingu miji miwili tofauti show fiesta ilibuma sembuse kondeboy harmonize vs SIMBA BIN LADEN ndo mana yuleejamaaaa wa3iyoooo kaaamua kuwa mpole mana RHUMBA hata kiduchu
 
Kwani hapo Domo aliimba mwenyewe? Kuna vichwa vya kwetu vilikuwa hapo mzee kina BIG FIZZO, SAT-B na wengine
Ngoja ni wa google au niwacheki insragran hao masupaster wa bujumbura
 
Kuna wengine wanasema kaanzisha label ya kwake huyo Harmonize inaitwa KONDEGANG japo sina uhakika,Wenye Details mwageni.
Yeah ni kawaida katk music lil wayne alikua anamiliki Label yake ya Young money ila still alikuwa chini ya slim Ronalds na Birdman Cash money records,Young thug anamiliki YSL records ila still yupo chini ya label ya Gucci mane 1017 na Cash money records,Drake pia ana label yake,Meek mill pia ni kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…