Harmonize, kabla ya kutoa nyimbo zako za Kiingereza pitia kwanza kabla hujautoa

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Hoja yangu iko katika wimbo wa "one night STAND" Kutokana na ujumbe uliokuwemo kwenye huo wimbo hakutakiwa kutamka "One night STEND" kufanya hivyo amepotosha maana ya wimbo. Inatakiwa itamkwe "One night STAND"
 
I like it when you take it down"Slow slow". "Slow slow" ni tafsiri ya moja kwa moja ya "polepole" . Hatari sana.
Aàaaah acha zako wewe hiyo ni kuimba kuleta ladha tu na pale kwenye "more more" napo utasemaje acheni kujifanya jini kujua bhana 🤣🤣🙄🙄
 
Yeye alimaanisha one night kwenye stendi ya mabasi. Kama hujui kizungu tumia google translate wewe.
 
Kwani ww huwezi kusimama kwa usiku mmoja!?... Si unakesha tu bar..
 
For your record ni kwamba, "one night stand" in North America ina maana ya mchepuko uliopata siku hio hio na ukala mzigo siku hio hio kisha mkaachana bila kupeana namba za simu.
 
Alaa!! Kumbe😎😎
 
Yeye alimaanisha one night kwenye stendi ya mabasi. Kama hujui kizungu tumia google translate wewe.
Duh, we ndo umechapia kabisa. One night stand in North America ni dem ulompata siku hio hio na ukala tunda siku hio kisha mkaachana bila kupeana namba za simu.Au hata ikitokea mmepeana, hilo zoezi lote ndo linaitwa "one night stand"
 
Mimi nakwambia kuhusu huu wimbo wa Bwana Mmakonde Gang, wewe unanipa taarifa za North America!
 
Back
Top Bottom