eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Acha ubwege wewe!Mmakondw na kingereza wapi na wapi?
Aàaaah acha zako wewe hiyo ni kuimba kuleta ladha tu na pale kwenye "more more" napo utasemaje acheni kujifanya jini kujua bhana 🤣🤣🙄🙄I like it when you take it down"Slow slow". "Slow slow" ni tafsiri ya moja kwa moja ya "polepole" . Hatari sana.
Alaa!! Kumbe😎😎For your record ni kwamba, "one night stand" in North America ina maana ya mchepuko uliopata siku hio hio na ukala mzigo siku hio hio kisha mkaachana bila kupeana namba za simu.
Duh, we ndo umechapia kabisa. One night stand in North America ni dem ulompata siku hio hio na ukala tunda siku hio kisha mkaachana bila kupeana namba za simu.Au hata ikitokea mmepeana, hilo zoezi lote ndo linaitwa "one night stand"Yeye alimaanisha one night kwenye stendi ya mabasi. Kama hujui kizungu tumia google translate wewe.
Duh, we ndo umechapia kabisa. One night stand in North America ni dem ulompata siku hio hio na ukala tunda siku hio kisha mkaachana bila kupeana namba za simu.Au hata ikitokea mmepeana, hilo zoezi lote ndo linaitwa "one night stand"
Mbona Magufuli anatema yai utafikiri kazaliwa Kent.Mmakondw na kingereza wapi na wapi?