Harmonize kaingia kusiko!

Wasanii wanadai ni vizuri wao kuongeza mapambo na nakshi ili waonekane tofauti na watu wengine

Michael Jackson alikua mwanamziki genius,ni mwanamziki aliyekua anafanya kazi kwa mahaba makubwa sana,
Hata huku yanawezekana ila ulimbukeni na kufuata mkumbo ndio imekuwa priority
 
Pesa si shetwani na haijawahi kuwa shetwani. Tunajenga misikiti na makanisa kwa kutumia pesa. Sadaka na misaada mingine kwa wasiojiweza tunatoa pesa zenyewe au vitu vilivyonunuliwa kwa pesa. Pesa ni nyenzo (medium of exchange) inayotumiwa na mtumiaji kupata kile anachohitaji.

So anayeamua pesa itumike kwa mambo yasiyofaa au yanayofaa ni mtumiaji. Ni kama kisu unaweza kumchoma mtu akafa au ukakitumia kisu hichohicho kukata nyama kwa ajili ya pilau zuri kbs watu wakaifurahia jpili yao nzr kbs kama ya leo.
 
Fuatilia historia ya Shetani utagundua kuwa nguvu zake sio za kitoto, kama alimpiga Yesu mtoto wa Mungu je atamshindwaje binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…