Harmonize kakopi beat ya bwana misosi

Harmonize kakopi beat ya bwana misosi

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Kijana ameshaanza kukosa ubunifu nyimbo yake mpya ni sample ya beat ya bwana misosi mabinti wa kitanga
 
Aisee beat ya mabinti wa kitanga live, hii ngoma ilisumbua sana miaka hiyo
 
Unajua lolote kuhusu chord progession
Mfano thinking out loud ya Ed sheeran na Lets get in ya Marvin Gaye ni kama zinafanana lakini sio copy kimziki inaruhusiwa mkuu
Hairuhusiwi kwa sheria za wenzetu unakumbuka kesi ya phallell willium alitoa nyimbo yake ya happy ilifanya vizuri sana lakini baadae ilikuja kugundulika alikopi vionjo vya nyimbo ya msanii mwingine mwaka 1970 walimshtaki ikabidi atoe asilimia fulani ya mapato aliyotengenza kupitia nyimbo hiyo
 
Unajua lolote kuhusu chord progession
Mfano thinking out loud ya Ed sheeran na Lets get in ya Marvin Gaye ni kama zinafanana lakini sio copy kimziki inaruhusiwa mkuu

Unajua kama huo wimbo wa Ed Sheeran ulisababisha afunguliwe kesi?
 
Bado maamuzi ya mahakama kuu japo jamaa anaelekea kuishinda hiyo kesi ukizingatia owner hana shida wenye matatizo ni kampuni flani ilonunua asilimia kadhaa za copyright

Okay, last time kuifatilia ilikuwa December, nilijua imeshaisha.
 
Kijana ameshaanza kukosa ubunifu nyimbo yake mpya ni sample ya beat ya bwana misosi mabinti wa kitanga
Hata wakina Chris Brown ,Kendrick Lamar et al ambao ni wasanii wakubwa wanaiga ma beat, sembuse kijana wetu Kondeboy.
 
Tatizo la kukurupuka bila kuuliza.Alihojiwa wasafi fm kipindi block 89 na akasema Bwana misosi kaibariki kazi yake.
Punguza mtima nyongo mtoa post.
 
Jamaa katoa kolabo na justin b inaitwa i dont care nayo inashutumiwa kakopi kwa mdada flani haswa kwenye Chorus so jamaa ameanza kuzingua sana

Ukishaanza kulalamikiwa copying siyo powa kabisa. Mimi baada ya kufatilia ile kesi niliomba aishinde.

Sijamfatilia sana baada ya hapo. Noma.
 
Tatizo la kukurupuka bila kuuliza.Alihojiwa wasafi fm kipindi block 89 na akasema Bwana misosi kaibariki kazi yake.
Punguza mtima nyongo mtoa post.
[/QUOT
umefanya vizuri kunijulisha sio kila mtu anafuatilia kila kinachoendelea japo umetumia lugha kali sana kama unauhakika na unachoongea
 
Write your reply...


umeisha sikiliza ata mahojiano yake '.au unakurupuka kama mualisho
 
Back
Top Bottom