Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Aug 31, 2021 #21 Namba 1 on trending. Kila laheri dogo ilimradi unakula maisha huna shida ndogo ndogo kwa tanzania umetoboa
Namba 1 on trending. Kila laheri dogo ilimradi unakula maisha huna shida ndogo ndogo kwa tanzania umetoboa
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 17,640 Reaction score 22,748 Sep 1, 2021 #22 Huu muziki nauweza πππππ
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Sep 1, 2021 #23 Kalpana said: Namba 1 on trending. Kila laheri dogo ilimradi unakula maisha huna shida ndogo ndogo kwa tanzania umetoboa Click to expand... harmonize amefanya WCB wapoteane,yaani anashindana na WCB wote but yeye anatoa hit tu,jamaa naamkubali
Kalpana said: Namba 1 on trending. Kila laheri dogo ilimradi unakula maisha huna shida ndogo ndogo kwa tanzania umetoboa Click to expand... harmonize amefanya WCB wapoteane,yaani anashindana na WCB wote but yeye anatoa hit tu,jamaa naamkubali
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Sep 1, 2021 #24 Viol said: harmonize amefanya WCB wapoteane,yaani anashindana na WCB wote but yeye anatoa hit tu,jamaa naamkubali Click to expand... Nimeanza kumuelewa aisee. Anawapeleka kinoma.
Viol said: harmonize amefanya WCB wapoteane,yaani anashindana na WCB wote but yeye anatoa hit tu,jamaa naamkubali Click to expand... Nimeanza kumuelewa aisee. Anawapeleka kinoma.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Sep 1, 2021 #25 ze-dudu said: Huu muziki nauweza πππππ Click to expand... Nauweza kuucheza na kuimba...
ze-dudu said: Huu muziki nauweza πππππ Click to expand... Nauweza kuucheza na kuimba...